BREAKING: Kamanda Kinondoni Kuhusu Mwili Uliokotwa Coco Beach

Kamanda wa Polisi Kinondoni, Murilo Jumanne Murilo amesema February 13, 2018 walipokea taarifa kutoka kwa msamaria mwema kuwa aliona mwili wa mtu ukiwa kando ya Bahari ya Hindi maeneo ya Coco Beach Kamanda Murilo amesema jalada kuhusu kifo hicho lilifunguliwa na uchunguzi unaendelea

BREAKING: Kamanda Kinondoni Kuhusu Mwili Uliokotwa Coco Beach time: 00:18:14

Leave a Reply